• Thu. Aug 13th, 2020

maandalizi ya Eid Al-adha

Byjess

Jul 30, 2020
eid al-adha

By jacinta maara,

Eid Al-Adha ni sherehe ambayo watu wa dini la Islam hukongamana na kuswali ombi la Salaat al-I’ed kwa pamoja Kisha  kusherekea na marafiki zao,wasiojiweza,wakristo na jami kwa jumla.Siku hii huwa kumbukumbu ya jinsi nabii Ibrahim alivyomtoa mwanawe Ishmail kama kafara.Sherehe hii huwa siku 70 baada ya msimu wa kujifunga wa Ramadhan.Watu wa dini la Islam huchinja mifugo yao iliyo bora kama vile ng’ombe (baqara),kondoo (kharuuf), ngamia (jamal) kwa vipande vitatu;

        Kipande cha kwanza- hupewa watu wasiojiweza,maskini na ndicho kipande cha maana Zaidi.

        Kipande cha pili        -hupewa jamii ,marafiki na wafanyakazi wenza.

       Kipande cha tatu     -hupewa familia yenyewe.

Baada ya sherehe za eid waislamu wote kwenye msikiti (jamal) husalimiana na kusemezana I’ed Adha Mubarak kama njia ya kutakiania eid njema yenye fanaka. Eid hii itakua na tofauti na hizo zingine ili watu wazingatie kanuni na masharti yaliyoekwa dhidi ya janga hili la COVID-19.Misikiti imefunguliwa kufuatia masharti haya na hii ni changamoto kwa maskini na wasiojiweza kwani sherehe hii lengo lake kuu ni kuwasaidia wao.

Sisi kama Mugambo wa mugikuyu fm twawatakia Eid AL-Adha njema yenye fanaka.

Kula’am wa antum bikhayr.

Follow us in social media:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

COVID-19 Pandemic Updates

The outbreak of coronavirus disease (COVID-19) has been declared a pandemic and the virus has now spread to many countries and territories. While a lot is still unknown about the virus that causes COVID-19, we do know that it is transmitted through direct contact with respiratory droplets of an infected person (generated through coughing and sneezing) Individuals can also be infected from touching surfaces contaminated with the virus and touching their face (e.g., eyes, nose, mouth). While COVID-19 continues to spread it is important that communities take action to prevent further transmission, reduce the impacts of the outbreak and support control measures.