• Sat. Oct 31st, 2020

Mikiki mingi kitandani.

Byflorence wairimu

Aug 5, 2020

Mwanadada mmoja ameamua kumtaliki mumewe kwa mda wa wiki moja baada ya harusi akidai kuwa hampi muda wa kupumua usiku akitaka kuramba asali mfululizo.Demu huyu anasema kuwa jamaa hushiriki tendo la ndoa kama wazimu na hawezi vumilia tena.

Kwenye kesi ya talaka,demu alisema kuwa kwa wiki moja ambayo amekuwa kwenye ndoa, hajawai pata lepe la usingizi.

“Sikuwahi jua kilichonisubiri nilipokubali kuolewa na jamaa huyu.Huwa ananibingirisha kila usiku, hajali kuwa mimi ni binadamu na huchoka tu kabla atomize haja zake,”Demu alieleza.Alisema kuwa ingawa  anaamini kwamba tendo la ndoa ni haki anayofaa kumpatia mumewe,inafaa kuwa kwa kiasi wala sio mateso.

“Ninajua na ninaamini kwamba tendo la ndoa ni haki ambayo wanandoa hawafai kunyimana.Hata hivyo inapogeuka na kuwa mateso ni utumwa na hiyo siwezani”alieleza.Kulingana na mwanadada huyo mumewe hutisha kumpiga kila wakati akijaribu kumweleza hakuwa na hamu ya kumrisha uroda.

Kila wakati akimweleza kuwa hana hamu ya kushiriki tendo la ndoa, ubinadamu humtoka na kumfokea na kumwambia lazima atimize jukumu lake kama mke.Demu anasema kuwa mumewe aliambatanisha kesi yake na ripoti ya daktari kumaanisha kwamba alikuwa amekosa usingizi wa kutosha kwa mda mrefu na kwamba hatua hiyo ilikuwa ikiathiri afya yake.Kulingana na ripoti ya daktari nikuwa mlalamishi anahofia afya yake kwa kuwa inaweza kudorora kwa kukosa usingizi na kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Demu huyo alisema hangeweza kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa hofu ya kubakwa.Mwanadada anamalizia na kusema kuwa,kwa muda wa wiki moja ya ndoa amepitia mengi yanayozidi kubakwa.   

Follow us in social media:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

COVID-19 Pandemic Updates

The outbreak of coronavirus disease (COVID-19) has been declared a pandemic and the virus has now spread to many countries and territories. While a lot is still unknown about the virus that causes COVID-19, we do know that it is transmitted through direct contact with respiratory droplets of an infected person (generated through coughing and sneezing) Individuals can also be infected from touching surfaces contaminated with the virus and touching their face (e.g., eyes, nose, mouth). While COVID-19 continues to spread it is important that communities take action to prevent further transmission, reduce the impacts of the outbreak and support control measures.